Kusikiliza simulizi mbalimbali kunaleta utamu! Njoo kaa nasi usikilize baadhi ya simulizi za Biblia katika Kipimbwe! Umeshawahi kusikia simulizi ya mwanamke mmoja aliyeacha familia yake na kwenda ugenini na mwishoni akawa bibi mkuu wa mfalme Daudi?
Simulizi hii utaipata kwenye ukurasa huu.
Furahia kusikiliza!