Kusikiliza simulizi mbalimbali kunaleta utamu! Njoo kaa nasi usikilize baadhi ya simulizi za Biblia katika Kipimbwe! Umeshawahi kusikia simulizi ya mwanamke mmoja aliyeacha familia yake na kwenda ugenini na mwishoni akawa bibi mkuu wa mfalme Daudi?
Simulizi hii utaipata kwenye ukurasa huu.
Furahia kusikiliza!
Ruthu sura ya kwanza | Ruthu sura ya pili | Ruthu sura ya tatu | Ruthu sura ya nne | Yona sura ya kwanza | Yona sura ya pili | Yona sura ya tatu | Yona sura ya nne | Yesu anaweza | Siku mbaya | Tumshukuru | Hatukufahamu kuwa Yesu anakuja | Tumfuate | Hukumu imekaribia | Kiapo cha ubatizo wangu | Nakusalimu Baba | Njooni mpaone | Siku Yesu atakapokuja | Nioshe na maji | Baba mwenyezi